MAGARI YAANZA KUPITA BARABARA YA JUU (FLYOVER) ENEO LA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAGARI YAANZA KUPITA BARABARA YA JUU (FLYOVER) ENEO LA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM

 Magari yakipita kwa ajili majaribio leo (Jumamosi Septemba 15, 2018) katika barabara za juu (flyover) ya Mhandisi Patrick Mfugale lililopo eneo la Tazara Jijini Dar es Saalam ambalo hivi karibuni linatarajiwa kufunguliwa rasmi na na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More