“Magazetini” Liverpool yanasa mtaalamu wa Man United huku Real Madrid mbioni kuibomoa PSG - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Magazetini” Liverpool yanasa mtaalamu wa Man United huku Real Madrid mbioni kuibomoa PSG

Daily Mirror. Nyota wa tatu wa Liverpool wanaotokea Brazil Allison, Firminho na Fabinho wametumiwa ndege binafsi ili kurejea Uingereza kuikabili Tottenham.Allison, Firminho na Fabinho walikuwa wako nchini Marekani katika majukumu ya timu yao ya taifa, na sasa watakuwepo Jumapili kuivaa Tot.


The Times. Inasemekana kocha wa West Ham Manuel Pellegrini yuko katika wakati mgumu kifikra kutokana na kuvuja/leak kwa orodha ya kikosi cha kwanza anachopanga kabla hata ya kukitangaza official.The Daily Telegraph. Mmiliki msaidizi wa West Ham David Gold ameshauri mawakala wazidi kubanwa ili kupunguza uchumaji wao pesa kwa vilabu vya ligi kuu.


Baada ya kuona Man United wamefanikiwa sana kutengeneza makipa, sasa klabu ya Liverpool inajiandaa kumpa mkataba aliyekuwa kocha wa makipa wa Man United Jack Robinson ili kuongeza nguvu katika klabu hiyo.Daily Mail. Maurcio Pochettino amemuonya Hugo Lloris kuhusu tabia yake ya kuendesha gari akiwa amelewa na kumuambia mara nyingine atapata adhabu kubwa z... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More