MAGITA MBWEGA WA KAHAMA ASIMULIA ‘ALIVYOJINUNULIA’ BAJAJI KWA SH 1,000 NA SPORTPESA WAMEMPELEKEA HADI MLANGONI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAGITA MBWEGA WA KAHAMA ASIMULIA ‘ALIVYOJINUNULIA’ BAJAJI KWA SH 1,000 NA SPORTPESA WAMEMPELEKEA HADI MLANGONI

HAKUNA kuchelewesha pale mtu anapotupia ubashiri wake na SportPesa anaingia kwenye Droo ya bajaj Re na unapopigiwa simu ya ushindi kuwa umeshinda bajaj utapelekewa mpaka ulipo bila kutoa hata shilingi.
Ni kwa wakati Mwingine Tena SportPesa inamkabidhi mshindi wa Droo ya saba ya Shinda zaidi na SportPesa bajaj yake huyu ni Magita Mbwega kutoka Kahama aliipokea timu ya ushindi ikiwa na Mzigo wake mpya wa bajaj ilioupeleka mpaka nyumbani kwake.
Mbwega anasema aliweka ubashiri wa shilingi elfu moja pekee na baada ya mechi akashinda shilingi elfu tano lakini habari njema kwake ilikuwa kupokea simu kutoka SportPesa kuwa ameshinda bajaj, Anadai kuwa wakati ameambiwa ameshinda hakuamini kabisa mpaka alipoona timu imefika nyumbani kwake.
Magita Mbwega baada ya kukabidhiwa Bajaj yake mjini Kahama 

Mshindi huyu wa droo ya Saba ambaye ni mjasiriamali wa kuuza nafaka anaeleza kuwa ili kubashiri sio lazima uwe maskini wala Tajiri bali hii ni Fursa kwa kila mtanzania.
"Unajua jambo ambalo nimejifunza tang... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More