Magufuli akutana na mkurugenzi wa Benki ya Dunia, kimya bado kuhusu msaada wa $50m - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Magufuli akutana na mkurugenzi wa Benki ya Dunia, kimya bado kuhusu msaada wa $50m

Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini humo kuzungumzia miradi mbalimbali inayofadhiliwa na benki hiyo.


Source: BBC SwahiliRead More