“Magufuli ukimuona ni mdogo lakini Chuma cha Mkoloni” -Dr. Molel - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Magufuli ukimuona ni mdogo lakini Chuma cha Mkoloni” -Dr. Molel

Kampeni za Uchaguzi katika Jimbo la Siha zimehitimishwa February 16, 2018  ambapo nakusogezea alichongea Dr.Godwin Molel ambaye alikuwa Mbunge wa Siha na sasa anawania tena kurudi katika kiti hicho kupitia Chama cha Mapinduzi. Dr. Molel amewataka wananchi wa Siha kumpigia kura ili aweze kutimiza mahitaji yao katika jimbo hilo pia amemsifia Rais Magufuli kuwa anafanya […]


Source: Millard AyoRead More