MAHAFALI YA WANACHUO CHA UALIMU, KIDATO CHA NNE SEKONDARI AL HARAMAIN YAFANA JIJINI DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAHAFALI YA WANACHUO CHA UALIMU, KIDATO CHA NNE SEKONDARI AL HARAMAIN YAFANA JIJINI DAR

Wahitimu wa Ualimu wa Chuo na Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, wakiwa katika gwaride la kuingia katika viwanja vya mahafali yao, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.Wahitimu wa Ualimu wa Chuo na Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, wakiwa katika gwaride la kuingia katika viwanja vya mahafali yao, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wahitimu wa Ualimu wa Chuo cha Al Haramain, wakiimba waimbo wa Taifa katika mahafali yao yaliyofanyika kwenye viwanja vya chuo hicho, mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Wahitimu wa Ualimu wa Chuo cha Al Haramain, wakiimba wimbo wa Taifa katika mahafali yao yaliyofanyika kwenye viwanja vya chuo hicho, mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.   Wahitimu wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, wakiwa katika mahafali yao, yaliyofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo.  Wahitimu wa Kidato cha Nne Sekondari Al Haramain, Zuhura Hajii (kushoto) na Halima Nassoro, wakisoma utenzi katika mahafali yao hayo.Baadhi ya wa... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More