Mahakama Ujerumani yatoa idhini kwa wazazi waingie kwenye Facebook ya marehemu binti yao - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mahakama Ujerumani yatoa idhini kwa wazazi waingie kwenye Facebook ya marehemu binti yao

Mjadala umezuka baada ya wazazi Ujerumani kutaka kuingia kwenye akaunti ya marehemu binti yao kutaka kubaini kama binti yao alidhamiria kujitoa uhai.


Source: BBC SwahiliRead More