Mahakama ya Rwanda yawaachilia Diane Rwigara na mama yake Adeline Rwigara ikisema hawana hatia - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mahakama ya Rwanda yawaachilia Diane Rwigara na mama yake Adeline Rwigara ikisema hawana hatia

Mahakama imesema Diane Rwigara na mamake Adeline Rwigara hawana hatia na kwamba mashtaka dhidi yao hayana msingi wowote kutokana na upande wa mashtaka kushindwa kutoa ushahidi


Source: BBC SwahiliRead More