MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA KIGOGO WA UDART - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAHAKAMA YAMFUTIA MASHTAKA KIGOGO WA UDART

Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia mashtaka mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART) Robert Kisena (46) na mkewe Frolencia Mashauri nisha kukamatwa tena na kuunganishwa katika kesi moja yenye  mashitaka 19 ikiwemo kusababisha hasara kwa UDART ya Bil.2.41.

Awali washtakiwa hao  walikuwa wakishtakiwa  pamoja na wenzao watatu mbele ya Mahakimu Thomas Simba na Augustine. Mbali na Kisena na Mkewe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Kulwa Kisena(33), Charles Newe(47) na raia wa China, Cheni Shi (32).

Baada ya kufutiwa mashitaka yao chini ya kifungu namba 91 (1) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai (CPA) sura ya 20 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2002 walikamatwa na kuunganishwa katika kesi moja.

Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustine Rwizire  Wakili wa Serikali, Grory Mwenda amedai washtakiwa wanakabiliwa na mashitaka 19 likiwemo la  Kuongoza genge la uhalifu, kujenga kituo cha mafuta bila kibali, kuuza mafuta seh... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More