Mahakama yawabwaga wapinzani kesi ya muswada - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mahakama yawabwaga wapinzani kesi ya muswada

MAHAKAMA Kuu Tanzania imetulia mbali shauri la kupinga Muswada Sheria ya Vyama vya siasa iliyonguliwa na Zitto Kabwe, Salumu Biman na Joran Bashange. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Zitto ambaye ni Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Biman Mkuregenzi wa Mawasiliano wa Chama cha Wananchi (CUF) na Bashange Naibu Katibu (CUF)Bara. Viongozi hao waliowakili vyama 10 ...


Source: MwanahalisiRead More