MAISHA NA MAHUSIANO: KUSAMEHE NI DAWA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAISHA NA MAHUSIANO: KUSAMEHE NI DAWA

Maisha ya mwanadamu siku hizi ni maisha yaliyojaa chuki na visasi Tukiishi katika maisha ya chuki na kulipizana visasi bila kusameheana basi tutazidi kusambaratika na dunia itakua siyo sehemu salama kuishi kwa kila mmoja wetu.
Msamaha ni nini?
-Msamaha ni kuondoa uchungu wote ulioumbika ndani ya moyo wako kwa hiari yako mwenyewe.
Zifuatazo ni faida za kusamehe:-
1.Tunasamehe kwasababu kusamehe ni amri na ni agizo la Mungu Tunapaswa kusameheana kwani muasisi wa msamaha ni Mungu mwenyewe na kama Mungu angehesabu maovu yetu nani angesimama? Anza leo kusamehe, hakuna aliye mkamilifu.Hata wewe hivyo ulivyo sio Mkamilifu
2. Tunasamehe ili tuweze kusamehewa.Unapaswa kusamehe kwa faida yako mwenyewe siyo kwa faida ya mkosaji na wewe hebu mwachie Mungu apambane na watesi wako wala usilipe kisasi.
3. Unasamehe ili uwe na amani. Unaposamehe unakuwa unapata amani ya moyo. Mtu ambaye anavumilia uchungu ulioumbika ndani ya moyo na hataki kuachilia fundo hilo lazima litamtesa na atakosa amani ya moyo. A... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More