MAISHA NA MAHUSIANO; USIMDHARAU USIYEMJUA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAISHA NA MAHUSIANO; USIMDHARAU USIYEMJUA

Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha Obama akatoa taarifa kwa walinzi wake wawe tayari maana siku hiyo wataenda kupata chakula kwenye mgahawa wa mtaani.
Rais Obama na mkewe Michelle wakajiandaa. Ilipofika jioni Obama na Michelle wakiwa chini ya uangalizi mkubwa wa makachero wa CIA na FBI, wakaingia mtaani na kujichanganya bila kujulikana. Wakaingia kwenye restaurant moja ya watu wa kawaida wakakaa na kuagiza chakula.
Kwa kuwa ilikua restaurant ya kawaida, haikua na wahudumu wengi.. walikuwepo wahudumu wawili kwa upande wa chakula na upande wa vinywaji alihudumia mmiliki wa restaurant mwenyewe.. Hakuona haja ya kuajiri mtu kwenye vinywaji kutokana na faida ndogo anayoipata.
Hivyo alienda mwenyewe meza ya kina Obama na kuwasikiliza order ya vinywaji. Kwa kuwa Obama na mkewe walikua wamevaa mavazi casual, jamaa hakuwatambua kwa haraka. Akasikiliza order zao na kuwaletea vinywaji.. Walipomal... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More