Maisha ya THT ni kama ya mtaani tu, napata tabu sana wanaponifananisha na Aslay – Jay Melody (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Maisha ya THT ni kama ya mtaani tu, napata tabu sana wanaponifananisha na Aslay – Jay Melody (+video)

Msanii wa muziki anayekuja kwa kasi kutoka THT, Jay Melody kwa mara ya kwanza kwenye mahojiano yake na Bongo5 amefunguka ishu kibao kuhusu maisha ndani ya THT pia na ishu ya watu kufananisha muziki wake na Aslay.The post Maisha ya THT ni kama ya mtaani tu, napata tabu sana wanaponifananisha na Aslay – Jay Melody (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More