MAJAJI NA MAHAKIMU WAKUMBUSHWA KUTOA ADHABU ZINAZOIREKEBISHA JAMII - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAJAJI NA MAHAKIMU WAKUMBUSHWA KUTOA ADHABU ZINAZOIREKEBISHA JAMII

 Na Lydia Churi-Kwimba Mwanza Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewakumbusha  Majaji na Mahakimu kutumia Mamlaka waliyonayo kisheria kutoa adhabu zinazoirekebisha jamii kwa makosa yanayojirudia mara kwa mara.Akizungumza na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Kwimba leo Jaji Mkuu alisema Mahakama ni sehemu ya jamii hivyo inalo jukumu la kuhakikisha kuwa jamii inaishi kwa amani na salama.Kuhusu ushirikiano kati ya Mahakama na mihimili mingine, Jaji Mkuu alisema katiba ya nchi imegawanya majukumu kwa kila mhimili lakini yote inaunganishwa  na dhana moja ya kuwatumikia wananchi, hivyo aliahidi kuendeleza ushirikiano na wadau wote ili wananchi wapate haki kwa wakati.Kwa mujibu wa Jaji Mkuu, Mahakama haiwezi kufanya kazi peke yake bila kushirikiana na mihimili mingine. “Nguvu ya Mahakama inatokana na nguvu kutoka kwenye mihimili mingine”, alisema.  Awali akimkaribisha Jaji Mkuu ofisini kwake, Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mhe. Senyi  Ngaga alisema wilaya yake in... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More