MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE MJINI KIGOMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE MJINI KIGOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Kongamano la Wanawake  (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. Baadhi ya wananchi wa Kigoma wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Kongamano la Wanawake  (UWT) kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika  Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri) Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,  Stella Ikupa akizungumza katika Kongamano la  Wanawake (UWT) lililohutubiwa na Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Gaudencia Kabaka wakitazama hot pot lililotengenezwa kwa mbao wakati alipohutubia katika Kongamano la Wanawake  kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma Julai 13, 2019.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More