Majaliwa atema cheche Ruangwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Majaliwa atema cheche Ruangwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi, Pudencis Protas  kumkamata Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wilaya ya Ruangwa Anthon Mandai kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo Jumapili, Agosti 12, 2018, wakati akizungumza na watumishi ...


Source: MwanahalisiRead More