MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Nyabisi Malyatabu ambaye ni Meneja wa Kanda wa Taasisi ya Utafitiwa Kahawa Tanzania (TACRI), Maruku mkoani Kagera  kuhusu kilimo bora cha kahawa wakati  alipotembelea  Taasisi hiyo, Oktoba 9, 2018. Watatu kushoto ni Naibu Waziri wa kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mhogo aina ya tegemeo unaostawi vizuri katika maeneo ya Kanda ya Ziwa  wakati alipotembelea Kituo cha Utafiti cha Maruku mkoani Kagera, Oktoba 9, 2018. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa na kushoto ni Mkuu wa Kituo, Innocent Ngyetabwa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vyakula mbalimbali vilivyotengenezwa kwa kutumia unga wa mhogo, ndizi na nafanka nyingine wakati alipotembelea kituo cha Utafiti  cha Maruku mkoani Kagera, Oktoba 9, 2018. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Chuo cha  Kilimo - MATI- Maruku, Laurent Luh... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More