MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHA MKOA WA ILALA, ENEO LA FIRE JIJINI DAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHA MKOA WA ILALA, ENEO LA FIRE JIJINI DAR

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye wakati alipotembelea Kituo cha Zimamoto za na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala eneo la Fire jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipotembelea Kituo cha jeshi hilo cha mkoa wa Ilala eneo la Fire jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018. Kushoto ni Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua baadhi ya vifaa, magari na mitambo inayotumiwa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipotembelea Kituo cha Zimamoto na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala, eneo la Fire jijini Dar es salaam. Juni 8, 2018. Kushoto kwake ni Kamishina Jenerali wa Jeshi hilo, Thobias Andengenye. ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More