MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mitambo ya kwanza ya Mpiga Chapa wa Serikali uitwao Original Heidelberg wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Bw. Mohammed S. Mohammed (kulia) ambaye ni Mtalaam na mwendeshaji mkongwe wa mitambo ya uchapaji kuhusu jarada lililochapwa na mtambo uitwao Original Heidelberg wenye umri wa zaidi ya miaka 100 wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam, Juni 8, 2018Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu mtambo unaochapa majarada ya serikali kutoka kwa Kaimu Mpiga Chapa wa Serikali, Bw. John Kaswalala (kushoto) wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Der es salaam, Juni 8, 2018. Mtambo huo wenye zaidi ya miaka 100 bado unafanya kazi vizuri . Kulia ni mwendeshaji wa mtambo huo, Dismas Shayo.Waziri Mkuu, Ka... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More