Majaliwa azindua safari za treni ya mizigo Tanga-Moshi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Majaliwa azindua safari za treni ya mizigo Tanga-Moshi

KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezindua safari za treni za mizigo kutoka Mkoa wa Tanga kuelekea Kilimanjaro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hafla ya uzinduzi huo imefanyika leo tarehe 20 Julai 2019 katika viwanja vya Stesheni ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Akizungumza katika uzinduzi huo, Majaliwa amesema utekelezaji wa urejeshaji huduma ...


Source: MwanahalisiRead More