MAJANGIRI HAWANA NAFASI KUFANYA UHARIFU KWENYE MBUGA ZA WILAYA YA IRINGA- DC KASESELA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAJANGIRI HAWANA NAFASI KUFANYA UHARIFU KWENYE MBUGA ZA WILAYA YA IRINGA- DC KASESELA

Mkuu wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela akiwa pamoja na katibu tawala wa wilaya ya Iringa Hashimu Komba wakiwa kwenye picha moja na viongozi na walinzi wa hifadhi Village Game ScoutsMkuu wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela wamejipanga kuwadhibiti majangili wote na akiwa ameshika silaha bora ambazo wanazitumia walinzi wa hifadhi Village Game Scouts ambao wanafadhiliwa na shirika la STEPS MKUU wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela wamejipanga kuwadhibiti majangili wote ambao wamekuwa wakifanya uharifu kwenye maliasili na misitu iliyopo katika wilaya hiyo.


NA FREDY MGUNDA,IRINGA. 

MKUU wa wilaya ya Iringa ambaye ni Mwenyekiti wa baraza la maliaasili na misitu Richard Kasesela wamejipanga kuwadhibiti majangili wote ambao wamekuwa wakifanya uharifu kwenye maliasili na misitu iliyopo katika wilaya hiyo.
Akizungumza wakati alipof... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More