Majibu ya UKIMWI ya Mbasha Yamtia Wazimu. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Majibu ya UKIMWI ya Mbasha Yamtia Wazimu.

UPIMA Ukimwi siyo jambo la mchezomchezo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Emmanuel Mbasha kupagawa baada ya kupewa majibu ya kipimo hicho.


Chanzo ambacho ni mtu wa karibu wa Mbasha kilieleza kwamba mwanamuziki huyo alikwenda kupima Virusi Vya Ukimwi (VVU) na alipopatiwa majibu alijikuta akirukaruka kama yuko jukwaani akiimba nyimbo zake.


Mbasha, baada ya kupata majibu kwamba ni mzima, hanamaambukizi ya Virusi Vya Ukimwi alipagawa yaani kama mtu ambaye alikuwa aamini, hapo ndiyo utajua kila mtu duniani anaogopa Ukimwi iwe mtumishi wa Mungu au mtu wa kawaida,” kilieleza chanzo hicho.Risasi Mchanganyiko lilimtafuta Mbasha ambaye alikiri kupima ngoma na kujikuta akipagawa kwa furaha kutokana na kukutwa hana maambukizi.


Hata hivyo mbasha alikuja kuulizwa ni kitu gani kilimfanya achanganyikiwe alipopata majibu yake ndipo alipojibu kuwa UKIMWI hauambukizwi kwa ngono pekee hivyo unapokutwa mzima ni jambo la kushukuru Mungu.


“Nilijikuta ninapagawa kwa... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More