Makamba amtumia ujumbe Rais Magufuli - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makamba amtumia ujumbe Rais Magufuli

JANUARY Makamba, aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), amemtumia jumbe Rais JohnMagufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Muda mfupi baada ya Rais Magufuli kumwapisha George Simbachawene kuongoza wizara ya Muungano na Mazingira, Makamba amemtumia kiongozi huyo wa nchi kupitia ukureasa wake wa twetter leo tarehe 22 Julai 2019. Kwenye ujumbe ...


Source: MwanahalisiRead More