MAKAMBA AWAAGIZA WENYEVITI WA MITAA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMBA AWAAGIZA WENYEVITI WA MITAA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU MARUFUKU MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira January Makamba kizungumza kwenye mkutano na viongozi na watendaji wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwemo Wenyeviti wa Mitaa yote ya mkoa na agenda kuu ikiwa ni marufuku ya matumizi ya mifuko ya plastiki,jana Jumanne Mei 21, 2019 katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.Mwanasheria toka Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Bw. Manchare Heche akizungumza na wadau mbalimbali wa Mazingira ambapo amesema ni kosa kisheria pindi watakapokutwa na mifuko ya Plastiki kuanzia Juni mosi mwaka huu jana Jumanne Mei 21, 2019 katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Baadhi ya viongozi na watendaji wa mkoa wa Dar es Salaam wakiwemo wenyeviti wa Mitaa yote ya mkoa wakiwa katika mkutano uliofanyika leo May 21, 2019 kwenye ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Muonekano wa vifungashio vilivyo ruhusiw... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More