Makambo awashtua Jangwani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makambo awashtua Jangwani

MSHAMBULIAJI, Heritier Makambo, anaendelea kufunga mabao makali akiwa mazoezini Yanga, lakini kule Cairo, Misri mambo yamekuwa tofauti baada ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kuizuia jezi yake atakayoitumia na kuirudisha nchini.


Source: MwanaspotiRead More