MAKAMBO KUTIMKIA NCHINI GUINEA. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMBO KUTIMKIA NCHINI GUINEA.

MSHAMBULIAJI na nyota wa klabu ya Yanga sc Heritier Makambo inasemekana kuna tetezi za sintofahamu kuwa ametimkia nchini Guinea ambapo amesaini kandarasi ya miaka 3 na klabu ya Horoya  Athletic inayocheza ligi kuu nchini humo kwa ada ya 230,000,000 za kitanzania. 
Kwa mujibu wa ukurasa wa Instagram wa Yanga  umesema kuwa Makambo mwenye  umri wa miaka 25 amesaini  mkataba wa kuitumikia klabu hiyo miaka 3 na kupewa nafasi  kubwa ya kufanya makubwa  kwenye ligi kuu ya nchi hiyo hasa baada ya kuonyesha mafanikio makubwa akiwa kwenye kikosi cha Yanga. 
Makambo aliebakiza mkataba mmoja wa kuitumikia Yanga  uliokuwa umalizike mwakani 2020.
Hata hivyo  mwenyekiti wa  klabu ya Yanga  Mshindo Msolla ameweka wazi kwa   taarifa hizo zinazoleta sintofahamu kwa kueleza kuwa mshambuliaji huyo aliondoka na kocha Mwinyi Zahera  Mwinyi nchini Guinea  kuonana na uongozi wa timu hiyo kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya  na ambapo angefaulu vipimo hivyo alipaswa kurudi nchini kuja kufanya ma... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More