Makambo ruksa kuivaa USM Alger - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makambo ruksa kuivaa USM Alger

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo amepewa ruhusa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ‘CAF’ kuitumikia klabu hiyo katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger utakaofanyika tarehe 19 Agosti, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Hapo awali uongozi wa klabu hiyo ulipeleka ...


Source: MwanahalisiRead More