MAKAMPUNI MATATU YATAKAYOSAFIRISHA MASHABIKI WA SOKA KULEKEA MISRI NA TAIFA STARS YATANGAZWA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMPUNI MATATU YATAKAYOSAFIRISHA MASHABIKI WA SOKA KULEKEA MISRI NA TAIFA STARS YATANGAZWA

Mkurugenzi wa Michezo Yusuph Singo, akizungmza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani), leo Jumamosi, 25 Mei 2019, kuhusu Kutoa kibali kwa Makampuni matatu yatakayosafirisha watanzania kwenda kuiunga mkono Timu ya Taifa (Taifa Stars) katika Michuano ya Mataifa ya Africa (AFCON) Nchini Misri June 21, 2019 hadi Julai 19, 2019, kulia kwake ni Mwakilisha wa kampuni ya Clouds Media Group (CMG), Shafii Dauda na Mwakilishi kutoka World Link, Zaki Admani Mwakilishi wa kutoka kampuni ya Clouds Media Group, Shafii Dauda akieleza jambo kuhusu namna ya kuwasafirisha watanzania watakajitokeza kwenda kuiunga mkono Timu ya Taifa (Taifa Stars) katika Michuano ya Mataifa ya Africa (AFCON) Nchini Misri June 21, 2019 hadi Julai 19, 2019, baada CMG kupata kibali hicho kutoka kwa Serikali, Kushoto ni Mwakalishi kutoka Kampuni ya Travel Link, Ephrem Mtuya, Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Singo na Mwakilishi kutoka World Link, Zaki Admani Mwakilishi kutoka World Link, Zaki Admani akizungumza mbele ya Waandis... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More