MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA MGODI WA BUZWAGI KAHAMA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA MGODI WA BUZWAGI KAHAMAMakamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd amefanya ziara katika mgodi wa dhahabu wa Buzwagi uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo iliyofanyika Februari 11,2019,Balozi Idd ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Shinyanga alipongeza viongozi wazawa wanaoendesha mgodi huo kwa kuwekeza miundombinu ya huduma za elimu afya na barabara.
"Zamani nilikuwa nasikia tu Buzwagi Buzwagi nashukuru sana Mkuu wa Mkoa nashukuru sana Meneja Mkuu wa Mgodi kwa fursa hii ya kuja kutembelea katika Mgodi wenu lakini kitu kinachonifurahisha ni huduma kwa jamii ya hapa Kahama mmenionyesha skuli ‘shule’mlizokarabati,barabara,na kadhlika.Pia nimeambiwa kuna hospitali mnajenga hayo yote kwa kweli ni kitu kizuri kwamba rasilimali hii inafaidisha vile vile wanajamii nawapongezeni sana muendelee ili Wana Kahama na sehemu nyingine za Mkoa wa Shinyanga waendelee kunufaika na rasilimali yao",aliongeza.
Akimkaribisha Mgodini hapo, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Zainab Telack alisema "Mhesh... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More