MAKAMU WA RAIS AHUDHULIA MCHAPALO NA WADAU WA UTALII - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA RAIS AHUDHULIA MCHAPALO NA WADAU WA UTALII

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wadau wa utalii katika mchapalo ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale katika hoteli ya Park Hyatt Zanzibar jana jioni tarehe 17, Oktoba 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wadau mbalimbali wa utalii katika mchapalo ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale katika hoteli ya Park Hyatt Zanzibar jana jioni tarehe 17, Oktoba 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Sekta ya Utalii imeendelea kukua kwa kasi sana Duniani kutokana na maendeleo ya teknolijia na upatikanaji taarifa.
Makamu wa Rais aliyasema hayo jana jioni wakati alipokutana na Wadau wa sekta ya utalii katika Mchapalo ulioandaliwa na Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.
Sekta ya Utalii imeendelea kukua ambapo mwaka 2017 z... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More