MAKAMU WA RAIS ajiandikisha daftari la wapiga kura, atoa neno kwa watanzania - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA RAIS ajiandikisha daftari la wapiga kura, atoa neno kwa watanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akijiandikisha kwenye Daftari la orodha ya Mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kituo cha Kujiandikisha Shule ya Msingi Kilimani iliyopo jijini DodomaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kujiandikisha kwenye Daftari la orodha ya Mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kituo cha Kujiandikisha Shule ya Msingi Kilimani iliyopo jijini DodomaMkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge,akitoa taarifa fupi kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani),ambaye alienda kujiandikisha kwenye Daftari la Orodha ya Mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kituo cha Kujiandikisha Shule ya Msingi Kilimani illiyopo jijini Dodoma.


Charles James, Michuzi TV
WATANZANIA wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la orodha ya ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More