MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiuandaa mti kabla ya kuupanda kwenye shamba la miti la Buhigwe, kushoto anayemsaidia Makamu wa Rais ni Meneja Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Magharibi Bw. Valentine Msusa
Add caption
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye mti wa kumbukumbu alioupanda kwenye shamba la miti la Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma.Sehemu ya miche laki mbili na nusu iliyopandwa kwenye shamba la miti Buhigwe mkoani Kigoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wanaoishi jirani na shamba la miti la Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma. Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako pamoja na Mbunge wa Jimbo la Buhigwe Mhe. Albert Ob... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More