MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WANYUMBA YA MAKAZI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WANYUMBA YA MAKAZI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBARPicha za michoro ya nyumba ya Makamu wa Pili wa Rais ambayo inajengwa Pagali Shehia ya Mkoroshini, Chake Chake Pemba ambapo jiwe la msingi wa ujenzi wa makazi hayo limewekwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ikiwa shamra shamra za kuelekea kwenye kilele cha miaka 55 ya Mapinduzi Tukufu Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi kuashiria zoezi la uwekaji jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa makazi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar limekamilika, mwingine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohamed Aboud, makazi hayo yanajengwa katika eneo la Pagali Shehia ya Mikoroshini Chake Chake Pemba.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Msanifu wa Majengo kutoka Ofisi ya Wakala wa Majengo Bi. Hawa Natepe mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa makazi ya Makamu wa Pili... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More