MAKAMU WA RAIS BENKI YA DUNIA ATEMBELEA MAHAKAMA YA WILAYA KIGAMBONI,AISIFU MAHAKAMA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MOLADI KTK UJENZI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA RAIS BENKI YA DUNIA ATEMBELEA MAHAKAMA YA WILAYA KIGAMBONI,AISIFU MAHAKAMA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MOLADI KTK UJENZI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii
Makamu wa rais wa Benki ya dunia, Sandie Okoro ameipongeza mahakama ya Tanzania kwa utekelezaji wa miradi ya mahakama kwa kutumia mfumo wa Teknolojia ya ujenzi wa bei nafuu ya mradi wa Molandi.
Pia Okoro ameipongeza mahakama kwa kuzingatia uwiano wa jinsia mahakamani katika utekelezaji wa majukumu kwani ameona kutoka ngazi za juu hadi ya chini wanawake wako wengi, 
Okiro amesema hayo leo Juni 8,2018 wakati anatembelea Mahakama ya Mwanzo na ile ya Wilaya ya Kigamboni iliyopo katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam ambapo alishuhudia majengo na kupewa maelezo mbali mbali yanayofanywa na mahakama za Tanzania. Ikiwemo mahakama inayotembea (Mobile Court).
Amesema taarifa za ujenzi wa majengo hayo ni za mfano wa kuigwa na zinapaswa kuwa mfano wa nchi nyingi za Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwani majengo hayo ni mazuri na yanakidhi thamani ya fedha.Amesema, taarifa ya namna ya mfumo wa mawasilisho na ujenzi na jinsi miradi hiyo inavyofanya kazi,n... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More