MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AIPONGEZA HOSPITALI YA MAMC-MLOGANZILA KWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU AIPONGEZA HOSPITALI YA MAMC-MLOGANZILA KWA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  (mwenye kilemba cha bluu) anayemfuatia ni Makamu Mkuu wa Chuo, Huduma za Hospitali, Prof. Said Aboud wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa magonjwa ya dharula Dkt. Catherine Shali wakati wa ziara yake katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu,  Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  (mwenye kilemba cha bluu) akipata maelezo katika mashime ya MRI wakati wa ziara yake katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC), Kampasi ya Mloganzila jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  (mwenye kilemba cha bluu) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (kulia) wakati wa ziara yake katika hospitali ya T... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More