MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA HARAMBEE YA KUCHANGIA TIMU YA TAIFA STARS - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA HARAMBEE YA KUCHANGIA TIMU YA TAIFA STARS

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hundi ya Shilingi Milioni 10 kutoka kwa Viongozi wa CRDB Bank ikiwa ni mchango kwa Timu ya Taifa Stars kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kuzindua Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ulioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye Jezi Mpya ya Timu ya Taifa Stars ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Jezi hiyo wakati wa Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More