MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

  Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Pamela Pallangyo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo mbele ya Makatibu Kamati katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.  Mkurugenzi Msaidizi kamati za Bunge Masuala ya Fedha na Uchumi, Ndg. Michael Chikokoto akizungumza jambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo yaliyozingatia mwongozo wa ziara za kamati mbele ya Makatibu Kamati (hawapo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Dickson BisileMkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein (wa pili kushoto) akizungumza na Makatibu Kamati (hawapo kwenye picha) wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo yaliyozingatia mwongozo wa ziara za kamati mbele ya Makatibu Kamati katika kikao k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More