MAKATIBU WAKUU WA KLABU ZA LIGI KUU KUPIGWA MSASA KESHO DEMAGE HOTELI, KINONDONI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKATIBU WAKUU WA KLABU ZA LIGI KUU KUPIGWA MSASA KESHO DEMAGE HOTELI, KINONDONI

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kesho Jumanne Machi 12,2019 litaendesha semina kwa Klabu za Ligi Kuu ya Bara (TPL).
Taarifa ya Afisa Habari Mawasiliano wa TFF, Clifford Mario Ndimbo kwa Vyombo vya Habari leo imesema kwamba Semina hiyo ya siku moja itafanyika Hoteli ya DEMAGE iliyopo Kinondoni mjini Dar es Salaam.
Ndimbo amesema kwamba wanaotakiwa kuhudhuria Semina hiyo itakayoanza Saa 2:00 asubuhi ni Makatibu na Watendaji Wakuu wa Klabu 20 za Ligi Kuu. 


Source: Bin ZuberyRead More