Makeup Artist wa Rihanna na Siri ya Kutumia Sabuni ya kipande kwenye Nyusi - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makeup Artist wa Rihanna na Siri ya Kutumia Sabuni ya kipande kwenye Nyusi

Makeup Artist wengi wana tips and tricks zao kwenye kuhakikisha kwamba makeup zinakaa vyema na ku last long kwenye clients wao ,its even harder ukiwa una wa glam ma staa wakubwa kama kina Rihanna.


Priscilla Ono yeye ni makeup artist wa Rihanna na yeye pia anafanya makeup classes za kutosha sana za kwake pamoja na za Fenty Beauty .


Me nimependa trick yake ya kutumia sabuni ya kipande kwenye ku set nyusi ,as we all know sababu inajua kuganda.Set your brows with bar soap

The make-up is a big advocate of ‘Soap Brows’, which literally refers to setting the brows with bar soap, via a spoolie


So ukishapaka wanja wako ukanyooosha nyusi na concealer au foundation the chukua spoolie ile wanayopakia mascara lowanisha kidogo pitisha spoolie yako the set eyebrows zako zitakaa siku nzima hazitaharibika.


... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More