Makhtar Diop, apewa majukumu mapya Benki ya Dunia - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makhtar Diop, apewa majukumu mapya Benki ya Dunia

Baada ya kushika wadhifa wa Makamu wa Rais wa Benki Kuu ya Dunia – Kanda ya Afrika, Makhtar Diop amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Benki hio kidunia kitengo cha Miundombinu kinachojumuisha Usafirishaji, Maendeleo ya kidijitali, Nishati, Fedha na Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma (PPP). Katika jukumu hili jipya la kimataifa, Makhtar Diop atasimamia


Source: Kwanza TVRead More