Makocha waliokimbia/kutimuliwa ligi kuu - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makocha waliokimbia/kutimuliwa ligi kuu

Msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2018/19 ukiwa unaelekea ukingoni kuna vilabu vingi havipo tena na makocha ambao walianzanao msimu huu kutokana na sababu mbalimbali.


Waliotimuliwa


Mohamed Abdallah Bares (TZ Prisons)

Ally Bushiri (Mbao)

Dragan Popadic (Singida United)

Hans van Pluijm (Azam FC)


Walioondoka/Kukimbia wenyewe


Mbwana Makata (Alliance)

Soccoia Lionel (African Lyon)

Amri Saidi (Mbao)

Hemed Morocco (Singida United)

Hitimana Thiery (Biashara United)

Niyongabo Amas (Stand United).


Waliosimamishwa


Bakari Shime (JKT Tanzania)


CHUKUA HII…


Singida United na Mbao FC zikiajiri makocha wapya, zitakuwa zimefundishwa na makocha watatu tofauti ndani ya msimu mmoja!!


Source: Shaffih DaudaRead More