Makonda Awapigilia Msumari wa Moto Watu Maarufu Wasiotaka Kuoa. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makonda Awapigilia Msumari wa Moto Watu Maarufu Wasiotaka Kuoa.

Kama alivyowahi kutangza hapo awali kuwa kama msanii elizabeth lulu michael hatoolewa mwaka huu na bos wa EFM bwana Majjizo basi atahakikisha kuwa anamfunga mwanaume huyo kwa kitendo cha kumchezea binti huyo na kwa kuthibitisha msema wake basi  maneno yake yalianza kutimia baada ya lulu kuvishwa pete ya uchumba.


hata hivyo kwa mara nyingne tena, mh makonda aliweka picha ya watu maarufu akiwemo mwanahabari na msomi mashuhuki bwana Lemutuz na kusema kuwa atahakikisha kuwa watu hao wote wanaoa kama kama watakaidi agizo lake  basi atawafunga.


Katika post hiyo Mh Makonda alisema kuwa watu aliwaagiza karibia wote walishatoa posa.The post Makonda Awapigilia Msumari wa Moto Watu Maarufu Wasiotaka Kuoa. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More