MAKONDA, KARIA WAWEKA MIKAKATI YA KULIINUA SOKA JIJI LA DAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAKONDA, KARIA WAWEKA MIKAKATI YA KULIINUA SOKA JIJI LA DAR

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Wallace Karia akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na michuano ya Vijana ya AFCON itakayofanyika mwakani hapa nchini.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari baada ya ujio wa Rais wa TFF Wallace Karia ofisini kwake.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelewa ofisini kwake na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia na Mwenyekiti wa Michezo Mkoa wa Dar es Salaam ambapo wamefanya mazungumzo ya kuimarisha sekta ya Michezo.
Miongoni mwa mambo waliyozungumzia ni Suala la heshima iliyopata Tanzania kuwa mwenyeji wa Michuano ya Mashindano makubwa ya michezo kwa Jeshi la Polisi katika nchi za mashariki na Kati zikihusisha Nchi Saba ambapo tayari michuano hiyo imefunguliwa rasmi siku ya Jana na Waziri mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.
Aidha wamezungumzia maandalizi ya mashindano makubwa ya SECAFA Cuf kwaajili... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More