Makonda kunogesha Simba na Arusha United - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makonda kunogesha Simba na Arusha United

 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa kirafiki kati ya Simba Sc na Arusha United utakaochezwa leo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini hapa.


Source: MwanaspotiRead More