Makontena ya Makonda kugaiwa kwa umma - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makontena ya Makonda kugaiwa kwa umma

IWAPO Makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda yanayopigwa mnada na Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kupitia Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart yatakosa mnunuzi, yatagaiwa kwenye taasisi za umma. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Leo tarehe 15 Septemba 2018 makontena hayo yalipigwa mnada kwa mara ya nne mfululizo ...


Source: MwanahalisiRead More