Makosa Wanayoyafanya Wanaume Wakati wa Kutongoza. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Makosa Wanayoyafanya Wanaume Wakati wa Kutongoza.

Kuna vitu vinahitaji uangalifu mkubwa sana unapokuwa unafanya hasa katka swala la mahusiano,  wapo wanaokaa na kujiuliza kwanini kila anapojitahidi kumuingia mwanamke kwa ajili ya kuanza nae mahusiano inakuwa vigumu, lakini kumbe hajui kuwa kuna kitu anakosea na hawezi kufanikiwa mpaka aweze kukiweka sawa.


Basi haya ni baadhi ya mambo unayotakiwa kuyaacha pindi unapotaka kumu-win mwanamke kimahusiano ;-


KUMPONDA MWANAMKE WAKE ALIYEPITA

Mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
KULALAMIKA

Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.
PAPARA

Wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
KUJIFAK... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More