Malale anaanza upya Ndanda FC - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Malale anaanza upya Ndanda FC

NDANDA FC kwa misimu mitatu mfululizo imekuwa ikinusurika kushuka daraja, lakini safari hii Kocha Mkuu wake, Malale Hamsini ameweka wazi mikakati yake ya kuhakikisha timu inafanya vizuri msimu mpya wa Ligi Kuu.


Source: MwanaspotiRead More