Mama Ivan Atoa Siri ya Mumewe Akilewa. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mama Ivan Atoa Siri ya Mumewe Akilewa.

Mke wamsani wa hip-hop nchiniRoma mkatoriki, Mama Ivan amefunguka na kusema siri kubwa ya mumewe huyo mpenzi kuwa mara nyingi sana akilewa nyumba inakuwa inachangamka kwa sababu mum wake anakuwa muongeaji sana kupita maelezo.


Akiongea katika moja ya interview akipoulizwa kuhusu maswala ya ukevi katika familia yake, Mama ivan alijibu “Roma akishakunywa pombe anakuwa muongeaji sana na anazidisha vituko , mara nyingi anaweza kuongea usiku kucha mpaka asubui na hatulali.


Inaweza kuwa tofauti na wanaume wengine ambao wakinywa pombe basi wanakuwa wakorofi, hata hivyo mama ivan na roma wamekuwa wakionekaa kuwa na mahusiano mazuri ya mke na mume na hata kusaidiana katika kazi za muziki za mume wake ambalo ni jambo zuri.


The post Mama Ivan Atoa Siri ya Mumewe Akilewa. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More