Mama Kanumba ampigia magoti Muna kufuatia kauli yake ‘Muna alinitukana sana, Mungu ametenda’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Mama Kanumba ampigia magoti Muna kufuatia kauli yake ‘Muna alinitukana sana, Mungu ametenda’

Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba, amemuomba msamaha mwanadada Muna Love kutokana na maneno yake “Muna alinitukana sana, na mungu ametenda” kauli ambayo aliyatoa siku chache baada ya Muna kufiwa na mtoto wake.


Mama huyo alidai aliitoa kauli hiyo kwa hasira kwani mwanadada huyo wakati yeye amefiwa na mtoto wake Kanumba alizungumza maneno machafu juu yake.


Akiongea na Time Fm wiki hii, Mama Kanumba alisema kwamba watu hawakumuelewa alichokimaanisha na watu walikata video fupu tu ya yale yaliyosambazwa.


“Muna mwanangu pole sana, ni donda hilo ambalo haliponi ni donda ndugu ila naomba unisamehe


Mama Kanumba amesema kwamba hana nia mbaya na hakuomba kitokee kilichotokea, watu walininukuu vibaya. Na wewe maneno uliyonisema mwanzoni hukujua kesho mwanangu, wote ni mapenzi ya mungu mimi sina nia mbaya,” alisema Mama Kanumba.


Mama Kanumba amesema kwamba hana nia mbaya na hakuomba kitokee kilichotokea.


The post Mama Kanumba ampigia magoti Muna kufuatia kauli yake ‘Muna alinitukana sana, ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More