MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

MAMA MARIA NYERERE:MAGEUZI YANAYOFANYWA NA RAIS MAGUFULI NI YA KUUNGWA MKONO

Maneno haya yamesemwa na Mama Maria Nyerere, Mke wa Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere mwasisi wa Taifa letu alipotembelewa na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) TAIFA jana Oktoba 08/2018. Viongozi hao kutoka Makao Makuu ya UVCCM ni Wakuu wa Idara Ndugu Hassan Bomboko (Uhamasishaji na Chipukizi), Peter Kasera (Organaizesheni, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa), Khamana Juma Simba (Vyuo na Vyuo Vikuu)Mama Maria Nyerere ameipongeza kazi kubwa inayofanywa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na amewaomba Viongozi wote nchini, Vijana na wananchi kumuunga mkono na kufanya juhudi kwenye maeneo yao ili kusaidia kuijenga Tanzania Mpya.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More